Share

MAMA NANDY: “NILIFATWA NIKABEBWA NA POLISI, NANDY ANALIA TU”

Share This:

Wazazi wa Mwimbaji Staa wa Bongofleva Nandy ndio wameitambulisha ngoma mpya ya Nandy iitwayo ‘hazipo’ ambapo walifanya Exclusive Interview na millardayo na kuongea mengi, Mama amehadithia jinsi alivyobebwa na Polisi na kushikiliwa kituoni kwa saa kadhaa.

Leave a Comment