Share

Mama Samia awalilia watoto kwa uchungu

Share This:

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameitaka jamii kuwalinda watoto na kutofumbia macho atakayebainika anadhalilisha watoto.

Leave a Comment