Share

Mamba wasababisha taharuki na hofu kwa wananchi Zanzibar

Share This:

Mamba ambao idadi yao haijulikani waliozaliwa ndani ya hifadhi ya wanyama iliyopo Mwera Zanzibar wametoweka na kuingia katika mto ambao unatumiwa na wakazi wa Mchikichini na kusabisha taharuki na hofu kubwa kwa wakazi hao.

Leave a Comment