Share

Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kumnyonyesha mtoto

Share This:

Changamoto mbalimbali zimekuwa zikijitokeza kwa kina mama wakati wanawanyonyesha watoto wao hasa maeneo ya mashambani.

Mwandishi wa Habari wa BBC Anne Ngugi alitembelea kijiji cha Enos-Sampurrmpurr katika Kaunti ya Kajiado nchini Kenya na kushuhudia elimu inayoendelea kutolewa, ikibadilisha mtazamo wa wanawake wa Kimasai katika unyonyeshaji.

Leave a Comment