Share

Mamlaka ya Hali ya hewa Yatoa Tahadhari. | Habari TBC

Share This:

Baada ya mvua kubwa kuua na kuharibu mali Mkoani Shinyanga, Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania imesema mvua nyingine zinatarajia kunyesha na hivyo wananchi kuchukua tahadhari.

Leave a Comment