Share

Maneno ya Mwijaku kwa MC Pilipili baada ya kumuoa aliyekuwa mchumba wake

Share This:

Mwijaku ambaye ni mume wa mpenzi wa zamani wa Mc Pilipili ambaye ni Nicole Franklyn, ameamua kumjibu Mc Pilipili kupitia ukurasa wake wa instagram hii ni baada ya Mc Pilipilikuonyesha hisia za kuumizwa na kitendo cha aliyekuwa mpenzi wake kufunga ndoa na muigizaji huyo

Leave a Comment