Share

Maneno ya Profesa Tibaijuka kwa wanaosema alizikataa mil 200

Share This:

Siku chache baada ya Waziri wa zamani wa Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka kushinda tuzo ya kimataifa ya “His Royal Highness Prince Khalifa bin Salman Al Khalifa Award for Sustainable Development” nchini Marekani na kuzikataa fedha zaidi ya milion 200 alizotakiwa kupewa kwa hofu ya kuhusishwa na zile tuhuma za Escrow

Leave a Comment