Share

Mapambo ya mabaki ya chupa

Share This:

Visiwani Zanzibar, kijana Suleiman Ali Mohamed ameamuwa kutunza mazingira kupitia ukusanyaji na uokotaji wa chupa za glass na baadae kuzisarifu kuwa mapambo ya ndani ambapo amefanikiwa kujipatia umaarufu na soko kubwa la kitaifa na kimataifa. Zaidi tazama vidio ya Ahmad Juma.

Leave a Comment