Share

Mapigano yaendelea ukanda wa Gaza

Share This:

Mapigano ya mpakani kati ya Israel na kundi la Hamas yameendelea usiku wa kuamkia Alhamis ambapo Wapalestina watatu wameripotiwa kuuawa kutokana na mashambulizi ya Israel. Papo kwa Papo 09.08.2018

Leave a Comment