Share

MAPYA YAELEZWA KESI YA AMBER RUTTY NA MUMEWE “UPELELEZI UMEKAMILIKA”

Share This:

Upelelezi wa kesi ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile inayomkabili Rutyfiya Aboubakary maarufu kama Amber Rutty na mum ewe Said Mtopali umekamilika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Kesi hiyo imeahirishwa hadi March 7, 2019 kwajili ya kusomewa maelezo ya wali.

Leave a Comment