Share

Marekani kutambua Jerusalem mji mkuu wa Israel

Share This:

Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, hatua iliyolaaniwa vikali Mashariki ya Kati, Mkutano wa mazingira wa Umoja wa Mataifa wakamilika Kenya, Mamia wa Wanigeria warejeshwa nyumbani kutoka Libya. Papo kwa Papo 06.11.2017

Leave a Comment