Share

Marekani kuutathmini upya mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini

Share This:

Marekani kuutathmini upya mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini; Umoja wa Mataifa umegundua makaburi mengine mapya 17 ya watu wengi kwenye jimbo la Kasai, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo; na timu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani yaondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya, baada ya kufungwa magoli 3-1 na Monaco ya Ufaransa. Papo kwa Papo 20.04.2017

Leave a Comment