Share

Marekani, Mexico na Canada kuandaa kombe la Dunia 2026

Share This:

Amerika Kaskazini ndiyo itakayokuwa mwenyeji wa fainali za kombe la kandanda la dunia 2026, baada ya kuchaguliwa na wapiga kura wa Shirikisho la kandanda la Kimataifa FIFA mjini Moscow leo. Marekani, Mexico na Canada zimejipatia nafasi hiyo baada ya kuishinda Morocco. 13.06.2018

Leave a Comment