Share

Mashambulizi ya Saudi Arabia yauwa watu wanne na kujeruhi 48 Yemen

Share This:

Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeuwa watu wanne na kujeruhi wengine 48 katika mashambulizi ya anga kwenye mji mkuu wa Yemen, Sanaa. Iran imelaani mashambulizi hayo na kuitaka jumuiya ya kimataifa kuingilia kati. #Kurunzi

Leave a Comment