Share

Mashindano Ya Gofu Ya Moshi Open Yaanza Kutimua Vumbi

Share This:

Mashindano ya wazi ya gofu ya Moshi Open yameanza kutimua vunbi katika viwanja vya Moshi Club ambapo wachezaji wengi wamejitokeza kushiriki.

Leave a Comment