Share

Mashindano ya Mpira wa Kikapu ya Bball King yanzinduliwa

Share This:

Mashindano ya mchezo wa Mpira wa kikapu (Basketball) maarufu kama Sprite Bball Kings yamezinduliwa rasmi Juni 11 mwaka huu 2018 jijini Dar es salaam yakiwa na lego la kukuza na kuendeleza mchezo huo hapa nchini.

Leave a Comment