Share

Mashine ya kisasa ya kukuna nazi

Share This:

Kwa jamii ya Waswahili wa Pwani, kibao cha kukuna nazi maarufu kama mbuzi, ni miongoni mwa zana muhimu ya jikoni ambayo imekuwa ikitumiwa kwa miaka mingi kwenye eneo la ukanda wa Pwani ya Afrika Mashariki. Hata hivyo nchini Tanzania, kwa sasa watu wanatumia mashine maalum za kisasa kukuna nazi. Kurunzi 12.09.2019

Leave a Comment