Share

Mashine za kupigia kura zazua mashaka Congo

Share This:

Matumaini ya kuandaliwa uchaguzi mkuu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yanajikita katika mashine za Kieletroniki za kupigia kura. Chaguzi zilizocheleweshwa zinatarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu na maafisa wa uchaguzi wanaona kutumia mashine za kieletroniki ni muhimu katika chaguzi hizo wakiamini zitapunguza gharama na visa vya udanganyifu wa kura. Hata hivyo upinzani na Kanisa Katoliki zina mashaka na mashine hizo.

Leave a Comment