Share

Mashine za usalama za Israel zawaghadhabisha Waislamu Jerusalem

Share This:

Waumini wa Kiislamu Jerusalem wasusia kuomba katika msikiti wa Al.Aqsa kufuatia mashine za usalama zilizowekwa na Israel langoni. Duru ya pili ya mazungumzo ya Brexit yaendelea Brussels huku ajenda kuu zukihusu haki za raia, mpaka wa Ireland Kaskazini na ada ya euro bilioni 100 kwa Uingereza kujiondoa. Mahakama ya kimataifa ICC na Denmark zatia saini kuwezesha jamii ya Acholi ya Uganda kufuatilia kesi dhidi ya Dominic Ongwen. Papo kwa Papo 17.07.2017

Leave a Comment