Share

Mastaa 8 wa Filamu China wamekuja Tanzania…kutengeneza Filamu?

Share This:

Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Fashion Tourism wamewaalika wasanii kutoka China kwa lengo la kukuza sekta ya Utalii ambapo pia watakuwa nchini kwa ajili ya kuchukua baadhi ya filamu za Tanzania ambazo zitarushwa kwenye TV ya China.

Leave a Comment