Share

Mastaa wa Bongo kwenye uzinduzi wa Filamu mpya Mlimani City

Share This:

Mastaa mbalimbali wa Filamu usiku wa August 10, 2017 walikutana Mlimani City kwenye uzinduzi wa filamu mpya T-Junction ambayo imeshirikisha mastaa wachache huku idadi kubwa ikiwa ni wasanii chipukizi kwenye tasnia ya Filamu.

Leave a Comment