Share

Mastaa wa Filamu walivyofturishwa na Mjasiriamali Anezylitta

Share This:

inti Mjasiriamali @anezylitta.tz Jumamosi hii aliwafturisha mastaa wa filamu, ndugu jamaa na marafiki yakiwa ni maandalizi ya kwenda kwenye mashindano ya Cake Competition 2019 ambayo yanatarajiwa kutoa fursa kwa vijana ambao wanafanya shughuli kwenye ishu za mapambo.

Leave a Comment