Share

Mastaa wa Tanzania waliotajwa kwenye list ya AFRIMA 2017

Share This:

Waandaaji wa tuzo za AFRIMA (All African Music Awards) 2017 tayari imetoa list ya wanaowania tuzo katika vipengele mbalimbali na Tanzania haijaachwa nyuma ambapo inao mastaa wakitajwa kuwania tuzo hizo.

Leave a Comment