Share

Master J: Harmonize wa BSS alikuwa mbovu, yaani alikuwa havumiliki

Share This:

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini Tanzania, Master J ambaye pia ni jaji wa mashindano ya Bongo Star Search, amefunguka kwa kuizungumzia video ya muimbaji Harmonize iliyokuwa ikisambaa akionekana kuimba wimbo ‘Maraika’.

Leave a Comment