Share

Master J: Shaa amesema kilimo kinapesa kuliko muziki, nimemuacha

Share This:

Baada ya ukimya wa muda mrefu wa muimbaji Shaa, hatimaye mpenzi wa msanii huyo, Master J amefunguka kwa kusema kwamba muimbaji huyo kwa sasa yupo mkoani Mbeya anafanya kilomo na anaingiza pesa nyingi kuliko ambazo alikuwa anazipata kwenye muziki.

Leave a Comment