Share

Matibabu bure sio Ubungo tu, imewafikia na Wazee Kagera

Share This:

Mkoa wa Kagera umezindua zoezi la utoaji wa vitambulisho vya huduma ya matibabu kwa wazee kuanzia miaka 60 na kuendelea ambavyo wanaamini kupitia vitambulisho hivyo wataondokana na changamoto kubwa waliyokuwa wanakumbana nayo.

Leave a Comment