Share

Matokeo rasmi ya urais Kenya, bado

Share This:

IEBC, inatarajiwa kumtangaza mshindi wa urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya. Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Sigmar Gabriel ameitembelea Sudan Kusini. Na Umoja wa Ulaya utaitisha mkutano wa dharura juu ya kashfa ya mayai yaliyoambukizwa sumu ya wadudu. Papo kwa Papo 11.08.2017.

Leave a Comment