Share

‘Matukio ya unyanyasaji wa Kijinsia yanazidi ya Ujambazi nchini’

Share This:

Naibu waziri wa Afya Dr Faustine Ndungulile amesema kwa sasa vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia vimeongezeka kwa asilimia kubwa nakufikia Elfu 41 kwa mwaka nakusababisha matukio hayo kuongezeka nakuzidi matukio ya ujambazi nchini.

Leave a Comment