Share

Mauaji yaitikisa Jamhuri ya Afrika ya Kati

Share This:

Mauaji Jamhuri ya Afrika ya kati kufuatia mapigano ya makundi yenye silaha,Rais wa halmashauri ya Umoja wa Ulaya aikosoa Uturuki na kuikatisha tamaa juu ya kujiunga na Umoja huo,Na je utaiweza bei ya simu mpya ya iphone 10 ya kampuni ya Apple.Papo kwa Papo 13.09.2017

Leave a Comment