Share

Mauno ya Tausi katika Tamasha la Amka Kijana Iringa

Share This:

Mwigizaji Tausi ni mmoja kati ya wasanii ambao walipanda katika jukwaa la kampeni ya Amka Kijana iliyoandaliwa na wasanii wa filamu nchini Tanzania. Tausi alionyesha uwezo wa kukata viuno hali ambalo ilizua shangwe uwanjani hapo.

Leave a Comment