Share

Mavuno na burudani

Share This:

Wakulima hawa wa kijiji cha Masengwa mkoani Shinyanga kaskazini mwa Tanzaniania wao wana utamaduni wa kuvuna huku wakiimba na kucheza. Wanasema hii yote ni katika kurahisisha kazi. Ungana na veronica Natalis kufahamu zaidi. Kurunzi 04.06.2020

Leave a Comment