Share

“Mawaziri wanapigana vijembe” –Mbunge Devotha Minja

Share This:

Ni habari kutokea Bungeni Dodoma ambapo Wabunge wanajadili mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka wa fedha 2018/19 na kati ya waliopata nafasi hiyi ni Mbunge wa Viti maalum CHADEMA Devotha Minja.

Leave a Comment