Share

Mazishi ya Dogo Mfaume Chanika DSM

Share This:

May 17, 2017 tasnia ya muziki Tanzania ilipata pigo baada ya kutangazwa kifo cha aliyekuwa Mfalme wa Mchiriku Dogo Mfaume ambaye alitamba na wimbo wake wa ‘Kazi ya Dukani’ akiwa Hospitali ya Muhimbili…leo May 19, 2017 amezikwa nyumbani kwao Chanika Dar es Salaam.

Leave a Comment