Share

Mazishi ya Issac Gamba

Share This:

Ndugu jamaa na marafiki wamehudhria mazishi ya mwanahabari wa DW Isaac Muyenjwa Gamba wilayani Bunda mkoa wa Mara mahala alikozaliwa. Pumzika kwa amani Issac Gamba

Leave a Comment