Share

Mbagala chimbuko la kipaji cha Mbwana Samatta

Share This:

Jina Mbwana Samatta sio geni miongoni mwa mashabiki wa soka nchini Tanzania, hususan wakati huu ambapo nyota huyo anaongoza maandalizi ya timu yao ya taifa kabla ya kuvaana na Guinea ya Ikweta katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi katika fainali za Kombe la Dunia 2022 na AFCON 2021. Lakini je, unajua chimbuko la kipaji chake? Tazama vidio hii tukupeleke Mbagala uelewe zaidi.#Kurunzi

Leave a Comment