Share

MBOSSO afunguka baada ya kuhojiwa na BASATA kwa kuposti video chafu

Share This:

Wikiendi iliyopita msanii kutoka WCB, Mbosso aliposti video chafu kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akicheza na mwanamke jukwaani huko mkoani Mtwara alivyokuwa akitumbuiza, video ambayo imepelekea Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) leo Juni 20, 2018 kumuita kwa mahojiano juu ya video hiyo.

Leave a Comment