Share

MBOWE AMELAZWA, WENZAKE WAPELEKWA GEREZANI

Share This:

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia kutoa uamuzi Novemba 20, 2019 ya kufuta ama kutofuta dhamana ya Wabunge wanne wa CHADEMA ambao wamekiuka masharti ya dhamana.

Wabunge hao ni, Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Mbunge wa Bunda mjini Ester Bulaya ambao wamefika mahakamani hapo wakitokea kituo cha Polisi Osterbay baada ya kujisalimisha kufuatia amri ya mahakama ya kuamuru wakamatwe.

Leave a Comment