Share

Mbowe na Viongozi CHADEMA wasomewa mashtaka mapya 13

Share This:

Viongozi 9 wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wake Freeman Mbowe wamesomewa upya mashtaka 13 ikiwemo uchochezi na kufanya mkusanyiko usio halali katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Leave a Comment