Share

Mbunge aliyemwaga machozi Bungeni “wamekufa Wabunge mashahidi”

Share This:

Wabunge wameendelea kuchangia mapendekezo yao katika hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha 2018/19 iliyowasilishwa bungeni na Waziri wake Dr Charles Tizeba ambapo miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi hiyo ni pamoja na Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Msongozi ambaye alilieleza Bunge kuhusu Serikali kushindwa kuwalipa stahiki zao baadhi ya mawakala wa kilimo na kuwasababishia kupoteza maisha.

Leave a Comment