Share

Mbunge aliyeuwawa Uganda azikwa

Share This:

Ibrahim Abirige aliuwawa na watu wasiojulikana akiwa karibu na nyumbani kwake nje ya mji mkuu wa Kampala,Uganda. Ni miongoni mwa watu mashuhuri katika orodha ndefu ya waliouwawa karibuni.

Leave a Comment