Share

Mbunge BWEGE aja na kituko kingine Bungeni adai ATAANDAMANA

Share This:

Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara (BWEGE ) ameeleza Bunge kuwa atahamasisha wabunge kuandamana endapo Serikali itashindwa kuwalipa pesa zao za korosho wanazodaiwa na wakulima.

Leave a Comment