Share

MBUNGE HALIMA ALIVYOKATAA VIJANA KUITWA TAIFA LA KESHO “SISI NI JESHI KUBWA”

Share This:

Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Vijana Mkoa wa Kagera Halima Bulembo ameshiriki uzinduzi wa Karagwe ya Kijani kibichi na kutumia nafasi hiyo kuongelea juu ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Mikopo ya Vijana.

Leave a Comment