Share

Mbunge Lwakatare baada ya maamuzi ya Mahakama ya Rufaa

Share This:

Leo August 11, 2017 Mahakama ya Rufaa Tanzania imeyafuta maombi ya kibali cha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kutaka kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kufuta shtaka la ugaidi lililokuwa linamkabili Mbunge wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare.

Leave a Comment