Share

Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ashambuliwa kwa risasi

Share This:

Mbunge wa Singida Mashariki nchini Tanzania Tundu Lissu ashambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana, Chama tawala nchini Angola, MPLA chajiandaa kuanza zama mpya ya uongozi na Papa Francis yuko nchini Colombia kwa ziara ya siku tano Papo:07.09.2017

Leave a Comment