Share

Mbunge wa zamani alivyofikishwa Mahakamani

Share This:

Aliyekuwa Mbunge wa Dimani Zanzibar, Abdalah Sharia Amer, na mwenzake wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya kutapeli Shilingi Milioni 55.

Mbali ya mbunge huyo mshtakiwa mwingine ni Dk.Athumani Rajabu

Leave a Comment