Share

Mbwana Samatta: ‘Haina Kufeli’ akizungumza na Salim Kikeke wa BBC Swahili

Share This:

Mtanzania Mbwana Ally Samatta amefanikiwa sana akicheza soka Ulaya katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, lakini hakuwa hivi tangu zamani.
Alianzaje na nini kilimpa msukumo wa kuendelea kujiboresha?
Alizungumza na mwandishi wa BBC Salim Kikeke.

Leave a Comment