Share

MC Pilipili aagiza gari la Kifahari, Adai amewafunika wasanii wa muziki

Share This:

Mchekeshaji kutoka Tanzania, MC Pilipili amesema ameagiza gari la kifahari ambalo amekiri wazi kuwa kwa wasanii wa muziki gari la aina hiyo wanalo wasanii wanne tu.

Leave a Comment