Share

Mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania atoa msaada Muhimbili.

Share This:

#MICHEZO

#ITVTANZANIA

Nyota wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya Diffa El Jadida ya Morocco Simon Msuva ametembelea wodi ya watoto wadogo wanaosumbuiliwa na ugonjwa wa vichwa vikubwa na mgongo wazi katika hospitali ya taifa ya Muhimbili na kutoa msaada wa vitu mbalimbali vya kuwasaidia watoto hao.

Leave a Comment