Share

Mchezaji wa Simba akikatika Mauno kisa kuingia fainali ya Mapinduzi

Share This:

Mchezaji wa Simba, Zara Coulibaly ambaye ni raia wa Ivory Coast akishangilia kwa kucheza muziki wa dansi muda mchache baada ya klabu hio kuingia hatua ya fainali Mapinduzi Cup.

Leave a Comment