Share

Mchimba madini ameuza dhahabu ya Bilioni 3 Waziri akishuhudia

Share This:

leo May 26, 2019 ni kumhusu Mchimbaji Mdogo wa Madini Mkoani Shinyanga ambaye ameuza Almasi yake kwa Tsh. Bilioni 3 Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akishuhudia. Serikali yapata Milioni 238 kutokana na mauzo hayo.

Leave a Comment